SERIKALI KUANZA UCHAPISHAJI WA VITABU NCHINI-WAZIRI MKENDA

Na Mathias Canal, Dar es salaam Serikali imeitaka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuweka mkakati wa ndani ya mwaka mmoja kuhakikisha inapata mashine kubwa ya kuchapa na kutafuta tenda nafuu ya malighafi ya karatasi. Agizo hilo linakuja wakati ambapo matumizi ya serikali kwa ajili ya kuchapisha vitabu vya nukta nundu vinavyotumiwa na wanafunzi wasioona na